MSANII wa filamu aliyejikita kumtumikia Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi amesema kuwa, amechoshwa na upweke wa muda mrefu kwa kuishi bila mwanaume kwa takriban miaka 10 kwa kuwa anasubiri Mungu amshushie mume mwema.
Msanii wa filamu aliyejikita kumtumikia Bwana kwa nyimbo za Injili, Sara Mvungi.
Akitoa la rohoni kwa paparazi wetu, Sara alisema hajajihusisha na masuala ya mapenzi kwa kuwa wanaume wengi wanaomfuata hawaamini, wengi wao ni waongo hivyo
0 comments:
Post a Comment