2014-12-22

Sir Elton John Alivyofunga Ndoa ya ushoga na David Furnish



 
December 21 mwaka huu ndio ilikuwa siku ya harusi ya staa wa muziki Sir Elton John pamoja na mumewe David Furnish ambapo walikaa zaidi ya miaka ya tisa katika mahusiano na mwanaume huyo bila ya kufunga ndoa

Mastaa kibao walifanikiwa kuhuthuria sharehe hiyo na wao walifurai na kufikia hatua ya kupost picha zake kwenye mtandao wa Instagram na kuweka alama ya hashtag #sharethelove. 


   Hizi ni baadhi ya picha zao katika sherehe hiyo enjoy















0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...