2014-12-22

VIDEO: Ona Shilole Akivishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda. Dkk 3 full sheeeeda!!!!!!!!!!!



December 20 2014 ilikuwa ni siku ya furaha kwa Msanii Shilole akisherekea siku yake ya kuzaliwa lakin furaha yake ilizidi mara dufu baada ya kuvishwa pete ya uchumba na mchumba wake Nuh Mziwanda ambapo iliyofanyika Dar es salaam, Tujiunge na AyoTv ili kupata dakika tatu za kuona tendo lilivyokuwa kwenye siku hiyo ya birthday yake kama kifaa chako hakina uwezo .bonyeza hapa 


 


0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...