2014-12-22

WAKAZI WA MTAA WAMGOMO HUO; MIGOMBANI WAGOMEA KURUDIA UCHAGUZI WA NAFASI YA MWENYEKITI WA MTAA WA MIGOMBANI KATA YA SEGEREA

Wakazi wa Mtaa wa Migombani wakimzonga Afisa Mtendaji wa Kata ya Segerea ambae amekuja kutangaza kurudia uchaguzi wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani .
leo ambao ulifanyika tarehe 14 Disemba 2014 ambapo mgombea wa Nafasi ya Mwenyekiti Japhet Kembo Kutoka Chadema aliibuka Mshindi kwa Kura 547.
 Wakazi hao wamegoma kurudia uchaguzi huo kutokana na kile ambacho Afisa Mtendaji huyo alitangaza katika uchaguzi wa Mtaa huo uliofanyika tarehe 14 Disemba 2014 kuwa Uchaguzi ni Halali na Matokeo pia yatakuwa halali.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...