2015-01-27

Dr. Magufuli afanya makubwa katika jimbo la Mnyika, Mdee ndani

Tumezindua ujenzi wa barabara za; Mbezi mwisho-Goba-Tangi Bovu, Barabara ya External –Kilungule, Barabara ya Msewe-Baruti! Hii ni moja ya hatua kubwa sana na muhimu katika utatuzi wa foleni ndani ya Jiji la Dar es Salaam na kuendeleza kwa kiasi kikubwa maeneo ambayo barabara hizo zinapita (ndani ya Jimbo la Ubungo).Maslahi ya Umma Kwanza!" 




0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...