Mtandao wa kijamii wa facebook ulikuwa hauingiliki katika maeneo mengi duniani mapema leo kabla ya huduma zake kurudi.
Mamilioni ya watumizi wa mtandao wa facebook walishindwa kuingia katika akaunti zao.
Wateja wake katika mataifa mengine walishindwa hata kutumia hudumu ya Instagram.
Facebook
ilisema kuwa wahandisi wake ndio walioababisha tatizo hilo, na kukana
madai kwamba kundi moja linalotekeleza uhalifu wa mitandaoni lilihusika.
''Awali
watu wengi walikuwa hawawezi kuingia katika akaunti zao za mitandao ya
facebook pamoja na huduma ya Instagram'', msemaji wa facebook aliiambia
BBC.
''Hili halikuwa shambulizi kutoka kwa watu wengine lakini
lilitokea baada ya kufanya mabadiliko ambayo yaliathiri mpangilio wa
mfumo wetu''.
Tuliharakisha na kutatua tatizo hilo na sasa huduma zote zimerejelea asilimia 100 kama kawaida
Mitandao hiyo ilitoweka kwa takriban dakika 40 kabla ya kurudi.
Programu
ya mtandao unaowaunganisha wapendanao Tinder ambayo hutegemea facebook
ili kutoa huduma zake pia iliathiriwa na tataizo hilo.
Kundi moja
la uhalifu wa mitandano kwa jina Lizard Squad liliandika ujumbe kwa
twitter kuhusu hudumu hiyo kutoweka na kusababisha ripoti kwamba huenda
lilihusika.
Kundi hilo limeshtumiwa kwa mashambulizi ya mitandaoni
mwishoni mwa mwaka uliopita ambapo michezo ya video ya Sony pamoja na
Xbox ilipotea.
bbc swahili
SWALI: Mtandao wa FACEBOOK wapotea kwa dakika ngapi hewani/duniani
a. Dakika 40
b. Dakika 0
c. Dakika 4
Kujibu swali hili ushinde (mfukuaji wa wiki) bofya hapa

0 comments:
Post a Comment