Mwanamke mmoja mwenye
umri wa miaka 27 kutoka Brazilia jina lake ni Andressa Urach ametumia
zaidi ya mwezi akiwa ICU baada ya kujaribu kukuza makalio yake ila kwa
bahati yakaomtokea puani na misuli yake ikaharibika baada ya kufanyiwa
upasuaji kwa ajili ya kuongeza makalio yake. Ebu zotazame picha hizi
hapa chini
Baada ya kufanyiwa
upasuaji kwa ajili ya kuongeza makalio yake alirepoti kwa daktari
aliyemfanyia upasuaji kwa hayupo huru wakati akitembea dawa ambazo huwa
wanatumia kwa ajili ya kuongeza makali yao zinajulikana kwa jina la
hydrogel
Hizi ni baadhi ya picha zake akiwa hospital kwa matibabu zaidi
Mwanzoni alikuwa hivi tizama picha hapo chini
0 comments:
Post a Comment