2015-01-09

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA WACHEZAJI WA AFRICA LYON WALIVYOPIGWA NA MASHABIKI WA LIPULI

Mchezaji wa Africa Lyon, Rajab Khamis aliumia mkono kufuatia kupigwa na mashabiki wa Lipuli FC ya Iringa katika mchezo wa ligi daraja la kwanza uliopigwa juzi na kumalizika kwa suluhu. 

Raizan Hafidh aliumia nyama za paja baada ya kukatwa mtama ba kukanyagwa katika paja na mashabiki wa Lipuli
 

Kasim Simbaulanga naye aliumia mkono kutokana na fujo hizo

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...