Matukio
ya wazazi kutesa watoto wao yameendelea kuchukua nafasi katika jamii
nyingi dunia hadi kufikia hatua ya watoto kukimbilia katika vituo vya
kulelea watoto yatima
Binti mmoja nchini Australia alifungiwa na wazazi wake ndani kwa miaka mitano huku wakitumia nafasi hiyo kumbaka ili kutimiza haja zao.
Lauren Kavanaugh alizuiwa kula na kunyanyaswa kisha kubakwa nyakati za usiku na mama yake mzazi pamoja na baba yake wa kufikia.
Luren
ambaye kwa sasa ana miaka 21 alizungumzia tukio hilo ambalo amedai
limetesa maisha yake kwa kiasi kikubwa huku akiahidi kutoa elimu kwa
wasichana wenzake ili wasiweze kupata udhalilishaji kama alioupata yeye.
0 comments:
Post a Comment