2015-01-09

KWA RAHA ZAKE.; DIAMOND PLUTNUMZ NA P SQUARE NDIO WALIO FANIKIWA KUWATEKA HISIA MASHABIKI TUZO ZA GloCafAwards‬


Wasanii wa Africa walipata nafasi yakutoa burudani katika tuzo hizo za GloCafAwards‬ kama Uhuru Mr lavour Uhuru ,soweto gospel choir na wengineo 
Lakini Watu Waliguswa na Nyimbo ya diamond mdogo My Number one remix ambayo Plutnmz alionyesha uwezo wakuimba ubeti wa Davido Wote Bila yakufwata Cd Back Play nakufanya vizuri 

P square walifanikiwa kuwa kosha masbabiki baada ya kuimba nyimbo mbili Test MOney Na Ejajo

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...