Diamond Platnumz, Mwana FA na Alikiba ndio wasanii ambao nyimbo zao zimepakuliwa zaidi kwenye mtandao wa Mkito. Hizi ni nyimbo 10 zilizoongoza kwenye orodha hiyo ya nyimbo 100 zilizopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mtandao huo.
1.Diamond – Ntampata Wapi 2.Mwana FA f/ AliKiba – Kiboko Yangu 3.Yamoto Band – Ntakupwelepweta 4.Alikiba – Mwana 5.Joh Makini […] Bongo5
0 comments:
Post a Comment