Askari wa Kikosi cha Kutulia Ghasia (FFU), akijaribu kumwokoa mtu aliyejulikana kwa jina la Mariano Haruna baada ya kupewa msukosuko na wananchi wenye hasira, ambaye alidaiwa kuletwa kuapishwa kinyemela kama Mwenyekiti wa Mtaa wa Kigogo Fresh Kata ya Pugu (CCM), wakati wa zoezi la kuwapisha lililofanyika jijini Dar es Salaam
Haruna akiondolewa katika ofisi za Manispaa ya Ilala.
Askari akilazimika kumuondoa katika ofisi za Manispaa ya Ilala ampako zoezi la kuwaapisha wenyeviti lilikuwa likiendelea.
0 comments:
Post a Comment