2015-01-28

Mambo Poa; Wema Sepetu Apigiwa Magoti na Gazeti la Mtanzania na Kuombwa Msamaha


“Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. 
Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia 
kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake.
 Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za weledi na haki kwa jamii”. Mwisho wa kunukuu


Kitendo cha kumuomba msahani mwanadada Wema ni kitendo cha kiungwana pongezi kwenu Mtanzania natumai Wema kwa uungwana wake atawaelewa.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...