Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ Asha Baraka.
Stori: Musa Mateja
MKURUGENZI wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wamewatolea uvivu mastaa wanaojihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya (mateja) na kuwataka waache wenyewe.
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.
Kwa upande wake Ruge, alisema asilimia kubwa ya watu ambao wanatumia madawa ya kulevya walianza kwa kuvuta bangi na baada ya kuizoea ndipo wakaanza kuchanganya unga kwenye msokoto na baadaye kujikuta wanajidunga madawa ya kulevya.
“Kuna wasanii wengi sana wanaotumia unga ukiachilia mbali hao kina Ray C, Chid Benz, Diouf na Aisha Madinda (marehemu) ambao waliwahi kuripotiwa, tunawajua ingawa hawataki kujianika, wabadilike,” alisema Ruge.
Mwanamuziki Mashuhuri wa Twanga Pepeta, Msafiri Diof.
Asha yeye alisisitiza suala hilo kwa kutoa mifano hai. Alisema kabla Aisha Madinda hajafariki, alifanya kila juhudi za kumnusuru na utumiaji wa madawa lakini kuna watu walikuwa wakimpiga vita na kujikuta wakimtorosha.
Stori: Musa Mateja
MKURUGENZI wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’ na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wamewatolea uvivu mastaa wanaojihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya (mateja) na kuwataka waache wenyewe.
Wakizungumza katika mahojiano maalum na mwanahabari wetu kwa nyakati tofauti, Januari 5, mwaka huu, wakurugenzi hao walikiri kuwa tatizo la mastaa wanaobwia unga ni kubwa na halitapungua kama juhudi za makusudi hazitafanyika.
Kwa upande wake Ruge, alisema asilimia kubwa ya watu ambao wanatumia madawa ya kulevya walianza kwa kuvuta bangi na baada ya kuizoea ndipo wakaanza kuchanganya unga kwenye msokoto na baadaye kujikuta wanajidunga madawa ya kulevya.
“Kuna wasanii wengi sana wanaotumia unga ukiachilia mbali hao kina Ray C, Chid Benz, Diouf na Aisha Madinda (marehemu) ambao waliwahi kuripotiwa, tunawajua ingawa hawataki kujianika, wabadilike,” alisema Ruge.
Mwanamuziki Mashuhuri wa Twanga Pepeta, Msafiri Diof.
Asha yeye alisisitiza suala hilo kwa kutoa mifano hai. Alisema kabla Aisha Madinda hajafariki, alifanya kila juhudi za kumnusuru na utumiaji wa madawa lakini kuna watu walikuwa wakimpiga vita na kujikuta wakimtorosha.
“Huwezi amini jinsi ninavyopigania vijana wangu kutoka kwenye wimbi hilo maana nilishawahi kumchukua Banza na Msafiri Diouf enzi hizo Muhimbili (Hospitali ya Taifa) walikuwa hata hawajaanzisha kitengo cha kuwapatia dawa za kuondoa sumu hiyo.
gpl
0 comments:
Post a Comment