MADEREVA wa daladala zinazofanya safari za Kawe-Kariakoo na Kawe-Mbagala wamejikuta wakikunjana mashati mbela ya askari wa usalama barabarani baada ya ‘kuchomekeana’ magari wakiwa barabarani na kusababisha gari moja kukiharibu kioo cha kuona taswira ya nyuma (side mirror) cha daladala njingine, jambo ambalo lilimfanya askari huyo kuingilia ugomvi huo.
NI HATARI SANA:MADEREVA WA DALADALA ‘WACHOMEKEANA’HUKU WAKIPEANA KIBANO
MADEREVA wa daladala zinazofanya safari za Kawe-Kariakoo na Kawe-Mbagala wamejikuta wakikunjana mashati mbela ya askari wa usalama barabarani baada ya ‘kuchomekeana’ magari wakiwa barabarani na kusababisha gari moja kukiharibu kioo cha kuona taswira ya nyuma (side mirror) cha daladala njingine, jambo ambalo lilimfanya askari huyo kuingilia ugomvi huo.
0 comments:
Post a Comment