2015-01-19

Ni shiiiiiiiiiiiiida;OMMY DIMPOZ APAGAWA NA MGONGO WA AVRIL






Mwanamuziki wa Bongo Flava, Ommy Dimpoz ameonesha wazi kudata na msanii wa Kenya Avril, hii imetokea baada ya kupiga picha inayoonesha Ommy akichungulia makalio ya Avril mwenye mgongo wa mzuri wenye kuvutia.

 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...