Mwanadada anayefanya vizuri kwenye muziki na uigizaji wa filamu Bongo, Tiko Hassan.
Unataka kujua ameulizwa maswali gani na akajibu vipi? Fuatilia hapa chini.
Ijumaa: Wasanii wengi mna tabia ya kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja, yaani yupo wa kukupa fedha, wa mapenzi na wa kujirusha tu sehemu mbalimbali za starehe, vipi kwako likoje hili?
Tiko: Ukweli mimi huwa nikiwa na mwanaume mmoja natulia naye huyohuyo, tukiachana ndiyo nakuwa na mwingine, hiyo tabia ya kuwa na wanaume wengi sina na siipendi…
0 comments:
Post a Comment