2015-02-09

AY: WASANII BONGO WANAWANUFAISHA SANA WASAUZ............soma hapa alichokisema

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY' akipozi.

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’ amefunguka kuwa maprodyuza wengi waliopo Afrika Kusini ‘Sauz’ wanapata faida kubwa sana kutoka nchi za Afrika hasa Tanzania kupitia muziki.

Akichonga na Over The Weekend, AY alisema wasanii walio wengi kutoka Bongo wamekubaliana na gharama zao ndiyo maana wanakwenda kurekodi huko kuanzia ‘audio’ mpaka video.
 “Sauz sasa hivi imekuwa kama moyo wa muziki kwa Wabongo kutokana na kila mmoja kukimbilia huko kwa sababu tu kuna waandaaji wengi wa muziki. Wanawanufaish
GPL

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...