DIAMOND AKANUSHA KUPEWA MILIONI 500 NA LOWASSA ILI AMPIGIE KAMPENI....ASEMA TAARIFA HIZO ZINALENGO LA KUMCHAFUA LOWASSA 10:36 Unknown UDAKU No comments Meneja wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment