2015-02-19

DUUUUUUUUUUU MTU MWEUSI ALIYEBAGULIWA KWENYE TRENI UFARANSA ATAKA ------- BOFYA HAPA UJIONEEI

Mtu mweusi, Souleymane S. (kushoto) akijiandaa kupanda treni la chini ya ardhi la jijini Paris, Ufaransa.


Souleymane S. akisukumwa na mashabiki wa Chelsea ambao hawakutaka apande treni hilo wakati wakienda kwenye mechi kati ya Chelsea ya Uingereza na PSG ya Ufaransa.

MASHABIKI wa Chelsea waliokuwa wanakwenda kushuhudia mechi kati ya Chelsea ya Uingereza na PSG ya Ufaransa, walimsukuma Souleymane S. (33) kumzuia asipande ndani ya treni ya chini ya ardhi (Paris Metro Train) huku wakiimba wimbo uliohusisha ubaguzi wa rangi.

Walisikika wakiimba: "Sisi ni wabaguzi wa rangi na hivyo ndivyo tupendavyo".

“Tutawaadhibu wote waliohusika na kitendo hiki... kwenye mpira hatuwezi kuruhusu mambo haya, tumepanga pia kuomba wachunguzi kutoka UEFA waweze kutusaidia kuwapata wote waliohusika,“ alisema mmoja wa viongozi wa Club ya Chelsea.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...