2015-02-04

KIVAZI CHA LULU INSTAGRAM NI -----HEBU SOMA ALICHO AMBIWA


Picha ya Lulu aliyotupia Instagram leo.

KIVAZI alichotupia juu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' kimewaacha hoi baadhi ya mashabiki wake Instagram.
 Mrembo huyo mwenye mvuto wa pekee ametupia picha hiyo muda mfupi uliopita katika akaunti yake ya Instagram ambapo ametupia na maneno ya kizushi akisema: 'Lego get em...... nikuridhishe kwani we unaniridhisha!???? Am soleeeee!' aliandika Lulu.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...