2015-02-06

MCHUNGAJI GWAJIMA ADAI MTOTO ALIEJIFUNGUA FLORA MBASHA SIYO WAKE...hebu cheki picha hapa



Huyu ndiyo mtoto alie jifungua Flora Mbasha, mchungaji Gwajima aruka kimanga na kukana kuwa mtoto huyu siyo wake na kusema kuwa (It doesn't hold water) akiwa na maana haina mashiko. 
Mbasha nae alivyoulizwa juu ya mtoto huyu majibu yake aliyajibu kwa kutuma ujumbe wa wimbo huu wa injili hadi sasa watu wanashindwa kupata ukweli wa nani baba wa mtoto huyu lakini mwenye majibu ya maswali yote ni mwenyewe Flora Mbasha.


 Jitiririshe na wimbo wa Emmanuel Mbasha hapa chini kama majibu ya wale wote waliompigia simu na kuuliza kama mtoto huyu ni wake au yupo tayari kwenda kupima DNA.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...