2015-02-10

Ni hatariiiiiiiiiii:Chadema yaituhumu CCM kwa Mchezo Mchafu!..................bofya hapa kuona wanavyo fokeana

 
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Nzega, Shekhe Omari Omari, amekituhumu Chama cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi wake Kisiasa wilayani Bukene, akidai wamebaini njama za kuwabambikizia Kesi wanachama wa Chadema ili kuwatisha.

Akizungumza na Tanzania Daima Shekhe Omari ambaye pia ni Shekhe wa Wilaya ya Bukene na Diwani wa Kata Bukene (Chadema) alisema, kutokana na CCM kuanza kuweweseka na Ushindi wa Chadema kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wameanza Mchezo Mchafu wakizua Kesi.



Amesema, Usiku wa kuamkia jana, Mjumbe wa Halmashauri ya Kijiji cha Mwamala Dickson Mosha (CHADEMA) , amekamatwa na Polisi Mtendaji wa Kijiji, huku mtendaji wa Kijiji hicho, Madua Said, akiwaongoza, na kutupwa ndani bila kutaja kosa lake ni nini?

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...