2015-02-03

Picha za kilichojiri katika utengenezaji wa video mpya ya Linex na Diamond hizi hapa


Mwanzoni mwa mwaka 2015 Linex aliweka wazi kuwa anampango wakufanya video ya wimbo wake aliofanya na Diamond Platnumz ‘Salima’ na kwamba alisubiri kupata stori na muda mzuri wa kufanya kazi hio.
Hizi picha za wakati video inafanyika.











0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...