2015-02-18

USTAADHI JUMA AWAPA MAKAVU LIVE KWA WANAOPENDA MADEMU WA KIZUNGU..........soma hapa kilichojiri


Promota Ostaz Juma (pichani), ametupia maneno kwenye akaunti yake ya Insta na facebook yanayoashiria kuwaponda ma brazamen wenye tabia ya kutoka na mademu wa kizungu, especially wenye umri mkubwa.
 Kwa mtizamo wake ameonesha tabia hiyo ni sawa na kujishushia heshima Watanzania kwani wazungu wanapokuja nchini huchukua dada zetu wenye mri mdogo.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...