2015-02-18

Ina sikitisha sana: MWANAFUNZI AJINYONGA BAADA YA KUPATA MATOKEO MABAYA..........bofya hapa kuona picha hizo



Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina la ‘John Maduhu’ wa kijiji cha Pandagichiza, wilaya ya Shinyanga vijijini amekatisha maisha yake kwa kuamua kujinyonga baada ya matokeo ya kidato cha nne kumjia vibaya.
 Suala la kusikia mwanafunzi kajinyonga kutokana na matokeo mabaya linazidi kuwa jambo la kawaida ila inapaswa kuwepo na utaratibu wa...

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...