2015-03-10

DIAMOND ONSET AKIFANYA VIDEO YA I LOVE YOU NA IYANYA.





Diamond yuko nchini Nigeria akipiga Chupa la I Love U ngoma aliyofanya na Iyanya, Kupitia Instagram yake leo alipost picha na kuandika.."

Hufai eti, wansema Unavuaga tu Sketi..... Na Ntaregret we Shuka Mwenzako Blangeti....!!!!!! Onset!!#NAKUPENDA @iyanya ft your Boy! "

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...