North West akivutwa akiwa amelala juu ya sanduku la nguo.
VIDEO iliyowekwa katika mtandao wa Instagram na Khloe Kardashian ya mtoto wa dada yake, Kim Kardashian aitwaye North West imevutia watu wengi.
Angalia video hiyo hapo juu.
Video hiyo inamuonyesha North mwenye mwaka mmoja na miezi tisa akivutwa akiwa amelala juu ya sanduku la nguo kuelekea uwanja wa ndege.

Kim na Kanye wakiwa na mwanao North West.
Video hiyo inaonyesha ni jinsi gani mtoto huyo wa kike anavyohusudu sana sanduku hilo kiasi cha kukataa kabisa kuliachia.
North ni mtoto pekee wa mastaa Kanye West na Kim Kardashian.
GPL
0 comments:
Post a Comment