Tukio hilo limetokea mapema leo,kwenye kituo cha kulelea watoto kilichopo chang'ombe mjini Dodoma,ndipo ambapo mlimbwende huyo aliposhikwa na butwaa na kujawa na hudhuni na mmoja kati ya watoto waliopo kituoni
hapo,akajikuta akimbeba mtoto huyo kama inavyoonekana hapo juu pichani,hali hyo ilipelekea kila mmoja aliefika eneo hilo la kituo cha watototo kujawa na huruma na kuguswa ,kiukweli huyu ni miss ambaye ana hofu ya Mungu na
huruma ya aina yake juu ya kusaidia wasiojiweza ama waishio katika mazingira magumu,ni mfano wa kuigwa kwa kila mwananchi au yoyote yule aliepewa dhamana ya kuelimisha jamii ama kufanya kitu kikawa mfano kwa jamii iliyomzunguka,vile vile ametoa msaada wa sabuni nyingi za kutosha kituo kizima yaani katoni za miche ya
sabuni!!!Pamoja na PESA taslim Laki nne 4,00,000/= na vyote hivyo vimetokana na kipato chake mwenyewe ambacho ameamua kugawana na jamii inayomzunguuka bila msaada wa mtu wala kampuni yoyote..........hakika huu ndo ule mfano wa kuigwa!!!!2015 KUWA MFANO!!!
Story By Winston Makangale at 97.7 NYEMO FM DODOMA.
Story By Winston Makangale at 97.7 NYEMO FM DODOMA.
0 comments:
Post a Comment