2015-03-13

Ina sikitisha sana:WANAFUNZI WA UDSM WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA AJARI IRINGA


Hii ni picha ambayo inonyesha baadhi wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam ambao pia wamefariki katika ajali ya gari ambalo liliangukiwa na kontena eneo la Changarawe lililopo mji mdogo wa Mafinga mkoani Iringa.

Takribani wanafunzi watano kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam wamepoteza maisha katika ajali iliyotekea jana.

Wanafunzi hao walikuwa wakirejea chuo baada ya likizo kuisha

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...