.png)
Mwanamke komando aliejitolea maisha yake muhanga leo amekamatwa live akiwa uwanja wa ndege lagos akiwa ametokea pakistan kuchukua mzigo huo wa madawa ya kulevya.
Mwanamama huyo mwenye umri wa miaka 31 ajulikanaye kwa jina la Aladi Onyinye Juliet mkazi wa lagos alikutwa na mkasa huo katika uwanja wa Murtala Mohammed International Airport.
Alipo kamatwa alionekana mwenye huzunu na kujutia alilofanya kutokana nakile alichodai kuwa mumewe alimtelekeza na watoto akaamua kutafuta kazi ya kuendesha familia.
0 comments:
Post a Comment