Ili kujipatia zawadi kama msomaji huyu, nunua nakala yako ya Gazeti la Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi kila Ijumaa na ukikuta stika maalum, basi ujue wewe ndiye uliyejipatia, fuata maelekezo ili kupata zawadi yako.
Msomaji wa gazeti jipya la Uwazi Mizengwe ya Uchaguzi linaloingia mitaani kila siku ya Ijumaa, Salim Kubo amebahatika kujipatia shilingi laki mbili ‘cash’ baada ya kukuta stika maalum ndani ya gazeti hilo na kufuata maelekezo.
GPL
0 comments:
Post a Comment