2015-03-23

Nuhu Mziwanda Afunguka Makubwa Kuhusu Kupigwa na Shilole Pia Kutokujua Lugha ya Kingereza.........cheki video hapa

Shilole na Nuhu Mziwanda

Kwa mara ya Kwanza Udaku TV imemtafuta Nuhu Mziwanda na Kufanikiwa kupata Mahojiano kuhusu Mambo kadhaa ambayo yame andikwa sana na Magazeti na pia Mitandaoni ... 

Nuhu Mziwanda Ameongea Makubwa Kuhusu Shilole anavyompiga magumi kila mara , Pia ameongea kuhusu Michapio ya Kingereza anayoandikaga kwenye Page yake ya Instagram 


Angalia Video Hapa Chini:

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...