Paul Okoye ni moja kati ya pacha wa Peter wanaounda kind la P-square akishea picha na mashabiki wake akiwa katika pozi na mkoko wa aina ya ‘Wrangler jeep’, kwa waswahili tunasema yote ni mafanikio yalitokana na Muziki.
2015-03-09
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment