2015-03-18

PETITMAN AFUNGUKA HATA KAMA DIAMOND NI SHEMEJI YANGU SIWEZI KUACHA URAFIKI NA WEMA SEPETU


Mpambe na Rafiki Mkubwa wa Wema Sepetu Petit Man Amesema Kamwe Hawezi kuachana na Wema eti kwa Sababu Shemeji yake Diamond Ana mahusiano na Mwanamke mwingine.. Kauli hiyo inaashiria kwamba Petman 

yupo tayari kunyang'anywa Mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu 

Petitman ameyasema hayo akiwa na Ommy Dimpoz alipokuwa akitambulisha nyimbo yake mpya katika vyombo mbali mbali vya habari Alisema "Mimi na Wema ni Damu
 Damu ...ila mambo ya mahusiano kila mtu na mambo yake hatuingiliana wala kuwekeana mipaka "

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...