Chris Brown na aliyekuwa mpenzi wake Karreuche Tran ni miongoni mwa wapenzi maarufu waliotegemewa kukaa pamoja kwa muda mrefu kabla ya drama za mtoto wa nje ya mahusiano yao kusababisha wawili hawa kutengana wiki mbili zilizopita.
Karreuche amekuwa akitalii maeneo tofauti na rafiki yake kipenzi Christina Milian na picha alizoweka hivi karibuni zimemfanya Chris Brown kuwa na wivu sana.
Amber Rose naye alijiunga na Karruache Tran kwenye kusheherekea maisha ya kuwa Single Lady. Hii ndio comment ya Chris Brown
0 comments:
Post a Comment