2015-03-19

Sad Nyuzzzzzzzzzzz:AJALI NYINGINE YA BASI YATOKEA MIKUMI LEO MDA SI MREFU

 
 Ajali ya basi iliyotokea muda si mrefu Mikumi na kusemekana watu 8 wamepoteza maisha na wengine 3 mahututi na sababu ya ajali ni mwendo kasi Vijimambo inaendelea kufuatilia ajali hii kwa karibu na inawapa pole wale wote waliopatwa na msiba ya wapendwa wao na kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na kuwaombea majeruhi wote wapate nafuu haraka.

 
 Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...