2015-03-19

ZARI AFUNGUKA PESA NA WANAUME SIO CHAGUO LANGU LA KWANZA




acha watu wapanic baada ya mwanadada zari kukumbukia maisha yake ya zamani wakati alipoelekea nchini uongereza akiwa katika kiwanja cha mpira cha old traford, na haya ndio maneno aliyoyatamka mwanadada zariMoney comes & goes, cars come & go, houses come & go, men come & go. 

This right here is for life so kutokana na maneno hayo baadhi ya mashabiki wakafunguka na kusema huenda hata baada ya kuzaa na msanii diamond the platnumz atamkacha

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...