Hizi ni baadhi ya picha ambazo staa mrembo Irene Uwoya ame-share kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram akiwa jijini Mwanza.
Huu ulikuwa mtoko wake wa sikukuu ya PASAKA . Mbali ya picha hizi kusababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS huko Instagram, sio mbaya nawewe hapa kama mdau ukasafisha macho na picha hizi na kufunguka chochote kuhusu mtoko huu wa mrembo huyu ambae anatajwa kama ni mmoja kati waigizaji warembo zaidi hapa Tz.
0 comments:
Post a Comment