Labda uliziona picha za mwanzoni za mrembo Zari kutoka Uganda lakini ukaamini maneno ya wengine kwamba shemeji yetu huyu kwa Diamond Platnumz alidanganya kuhusu kuwa na ujauzito huo wa Diamond.
Picha mpya kutoka kwake ni hii hapa chini ikionyesha jinsi ujauzito wake unavyozidi kukua…
0 comments:
Post a Comment