2014-10-28

Waziri Mkuu Mh. Pinda, awasili Oman kwa ziara ya kikazi


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gwaride baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal Airport kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Oman Oktoba 27, 2014. Kushoto ni Naibu Waziri Mkuu wa Oman Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said. 



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Naibu Waziri Mkuu wa Oman, Mheshimiwa Sayyid Fahad Mahmoud Al Said (kushoto kwake) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscut wa Royal Airport kwa ziara ya siku mbili nchini humo Oktoba 27, 2014. 
 

 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya Watanzania waishio Oman baada ya kuwasili kwenye hoteli ya AL Bustan Palace mjini Muscut kuanza ziara ya siku mbili nchini humo, Oktoba 27, 2014.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...