2014-12-05

MSUSI WA HK SALOON AFIA GUEST HOUSE,KIFO CHAKE CHAGUBIKWA NA UTATA

  Askari polisi pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya mtaa kata ya Gongoni manispaa ya Tabora akiangalia mwili wa mwanaume mmoja ambaye ni Msusi katika moja ya Saloon za wanawake hapa manispa ya Tabora inayofahamika kama HK, Mwanaume huyo ambaye amefahamika kwa jina la Ramadhani amekutwa amefariki dunia akiwa chumbani kwake katika nyumba ya kulala wageni inayofahamika kwa jina la SALAMA GUEST ambapo ilidaiwa kuwa alikuwa ameishi katika nyumba hiyo kwa muda wa siku tatu na hatimaye kufikwa na umauti. 
 

Mwili ukichukuliwa na Polisi baada ya kuvunjwa mlango wa chumba katika Guest House hiyo. 

umesoma hii, usiache kuisoa; DUNIA INA MAMBO! KUTANA NA DAKTARI ANAYETUMIA PAMPU YA BAISKELI KUFANYA UPASUAJI!

Dada huyu inasemekana kuwa ndiye alikuwa mpenzi wake marehemu huyo Ramadhani


0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...