Bus Mohammed Trans limepata ajali mbaya Igunga ambapo watu saba wanadaiwa kupotza maisha maisha.
lilikuwa likitoka Mwanza kuelekea Morogoro, ambalo kwa mujibu wa shuuda basi hilo limejigonga kwenye shimbo na kupinduka katika eneo lililo kilomita tano kutoka mji wa Igunga.
0 comments:
Post a Comment