Madereva na wananchi wakitoa maelezo kwa askari wa usalama barabarani (mwenye nguo nyeupe).
Sehemu ya kioo cha upande wa kulia cha daladala kilichogongwa.
Sehemu ya kioo cha upande wa kulia cha daladala kilichogongwa.
MADEREVA wa daladala zinazofanya safari za Kawe-Kariakoo na Kawe-Mbagala wamejikuta wakikunjana mashati mbela ya askari wa usalama barabarani baada ya ‘kuchomekeana’ magari
wakiwa barabarani na kusababisha gari moja kukiharibu kioo cha kuona taswira ya nyuma (side mirror) cha daladala njingine, jambo ambalo lilimfanya askari huyo kuingilia ugomvi huo. (Habari/Picha: Gabriel Ng’osha/GPL)
0 comments:
Post a Comment