2015-01-19

Ni baada ya kimya sana:H Baba karudi tena na Tuzo zake za Familia ni balaa...................

http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/TUZO2.jpg

Mwezi September 2014 H Baba aliamua kuja na tuzo zake ambazo zilikua zikihusisha familia yake pekee na kuzipa jina la Tuzo za Familia ambazo zilihudhuriwa na viongozi wa Filamu na Muziki. 
 


 
Mwaka huu anazifanya tena lakini kasema anaongeza categories ambazo hazikuwepo mwaka jana, akizungumza na millardayo.com, H Baba amesema; “mwaka huu zitakuwepo tena,kwa sababu zile ndizo tuzo bora kwangu mimi“

“Kwa sababu tuzo bora inaenda kwa haki kama msanii na unastahili kupewa mwaka jana nilitoa tuzo 4, ambazo ni msanii bora wa filamu ambapo alikuwa Frola Mvungi na Mtumbuizaji Bora wa mwaka alijipa mwenyewe“– H Baba.
 

“Mwaka jana nilimpa mtoto wangu tuzo moja,mwaka huu nampa 10 maana ya kumpa 10 ili mwanangu anapokua aone tuzo za kawaida,hizi tuzo naamua tu kuwa mke wangu ana mguu mzuri nampa,ana macho mazuri nampa“– H Baba.

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...