2015-02-07

Ajali ya gari yajeruhi abiria mkani Lindi

Taswira kutoka eneo la ajali iliyotokea eneo la Mbaje, Lindi. 
AJALI hii ilitokea jana eneo la Mbanje kwenye barabara kuu ya Lindi - Dar katika Manispaa ya Lindi ikilihusisha gari la abiria aina ya Toyota Dyna linalofanya safari zake kati ya Lindi na Mpatwa lenye namba za usajili T 412 ASA. Gari hilo lilipinduka baada ya dereva wake kushindwa kulihimili. 

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...