Waendesha bodaboda wavamia na kuzingira kituo cha Nachingwea 05:20 Unknown H/KITAIFA No comments Baadhi ya waendesha bodaboda wilayani Nachingwea wakiwa eneo la kituo cha polisi. Waendesha bodaboda wakiwa eneo la kituo cha polisi. Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba waendesha bodaboda wilayani Nachingwea mkoani Lindi wamevamia kituo cha polisi na kukizingira. Chanzo cha kufanya hivyo bado hakijafahamika ila juhudi za kuwapata wahusika wa tukio hilo zinaendelea. Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook Share This: Facebook Twitter Google+ Stumble Digg
0 comments:
Post a Comment