2015-02-12

Baada ya klabu ya Aston Villa kushuka, Kocha wake atimuliwa

Kocha wa Aston Villa, Paul Lambert 
Aston Villa imemtimua kocha wake Paul Lambert baada ya Klabu hiyo kushuka kwenye Msiamo wa ligi kuu England na kuwa hatarini kushuka daraja 
Villa ilipoteza mchezo kwa kupigwa Mabao mawili kwa sifuri na Hull city siku ya jumanne, ikiwa ni mechi yao ya 10 bila kuondoka na ushindi. 

Mskoti huyu aliteuliwa mwaka 2012, na kusaini mkataba ambao utamalizika mwezi June mwaka 2018. 

Kocha wa kikosi cha kwanza Scott Marshal na Kocha wa Magolikipa Andy Marshall wanashikilia nafasi ya Lambert kwa sasa

isome hii: 

10 PICHAZ: Wakenya nooma!!!!!! Wamwaga razi wazi wazi kuvutia midume...

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...