2015-02-27

Changamkia diliiiiiiii!!!!!!!!!! Staa wa filamu za Kibongo Tiko anataka mtoto wa pili wakumpa mimba hana


Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan amesema kuwa anatamani kupata mtoto wa pili kwa sababu mtoto wake wa kwanza amefikisha miaka 10, tatizo hana wa kuzaa naye. 

Akipiga stori na Ijumaa Tiko alisema yeye ni ‘mgonjwa’ wa watoto wachanga na anahisi sasa ni muda muafaka ila tatizo mwanaume aliyenaye hana mpango wa kupata mtoto.

 “Yaani acha tu, mpenzi niliyenaye naona kama hajajiandaa maana hata nikiongelea ishu ya kubeba mimba, naona ananipotezea lakini kiukweli nahitaji mtoto wa pili,” alisema Tiko.
GPL

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...