2015-03-19

NUH MZIWANDA "SIKUZALIWA NA KINGEREZA NIMEKIKUTA JAMANI"


Hii ilikuwa show iliyofanyika mjini zanzibar Nuh mzee wazima taa A.k.A Baba shishi bebe. 



Nuh akiwa tayari kufanya makamuzi katika stage live



Baada yakumaliza show na kuingia mjini Instagram ndipo kazi ilipoanza Nuh alipo post picha nakuandika kwa lugha yakigeni nakuonekana kuchapia na mashabiki ku screenshot na kupost nini maana ya lichokiandika super star huyu . 



Madongo na maneno ukichanganya katika coment za picha hiyo Nuh mziwanda aliamua kuonge mwenyewe na kusema ujumbe huu hapo juu kama unavyo onekana akishutumu kuwa Hakuzaliwa na kingereza alikikuta na hata anapo kosea nivema kuelekezwa kuliko watu kukaa nakuanza kuponda pasipo sababu ya msingi

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...